
Nipo Dar es salaam mie niliekaa chini huyo mtoto anaangalia simu ni mtoto wa kaka yangua anaitwa Allen na alielala kwenye kiti ni dada yangu anaitwa Theresa, hapo ni nyumbana kwa kaka yangu Ojuku mitaa ya Kalakata uwanja wa Ndege.
| © China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |