• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais Xi Jinping wa China kuanza ziara katika nchi nne za Asia ya Kati

    (GMT+08:00) 2013-09-03 16:20:20
    Rais Xi Jinping wa China tarehe 3 septemba ataanza ziara katika nchi nne za Asia ya Kati. Ziara yake itamfikisha Russia atakakohudhuria mkutano wa 8 wa viongozi wa kundi la nchi 20 utakaofanyika tarehe 5 hadi tarehe 6 huko St. Petersburg na kuhudhuria mkutano wa 13 wa baraza la marais wa nchi wanachama wa Jumuiya ya ushirikiano ya shanghai utakaofanyika huko Kyrgyzstan, Kyrgyzstan.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako