• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Timu ya Cote d'Ivoire

    (GMT+08:00) 2014-05-22 15:47:13

    Timu ya Cote d'Ivoire imekuwa ni moja ya timu zenye nguvu barani Afrika katika miaka ya hivi karibuni. Wachezaji wake hodari ni pamoja na Kolo Toure, Yaya Toure, Yao Kouassi Gervinho, na Didier Drogba. Timu hiyo ikiongozwa na wanasoka hao maarufu, imeingia fainali za kombe la dunia kwa mara ya tatu mfululizo.

    Mwanasoka maarufu: Didier Drogba

    Wanasoka wa Cote D'Ivoire wote ni maarufu. Baada ya kutoka timu ya Shenhua na kujiunga na timu ya Ulaya, mshambuliaji Didier Drogba anaendelea kucheza vizuri na kuwa nahodha ya timun yake. Kiungo Yaya Toure ana uwezo wa kugombea nafasi ya mchezaji hodari katika ligi kuu ya Uingereza. Ingawa Kolo Toure ana umri mkubwa, lakini ana uzoefu mkubwa a uchezaji.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako