• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Algeria

    (GMT+08:00) 2014-05-22 15:48:55

    Hii itakuwa ni mara ya nne kwa Algeria kushiriki kwenye fainali za Kombe la Dunia. Safari hii Algeria inataka kujitahidi kufika hatua ya timu 16, ili kuondoa hali ya kutovuka hatua ya makundi.

    Wachezaji wake

    Mchezaji hodari zaidi wa Algeria ni Feghouli anayechezea klabu ya Valencia. Ni kiungo mzuri na mshambuliaji hatari wa pembeni. Madjid Bougherra ni mlinzi hodari wa Algeria, na alifunga goli moja muhimu kabisa katika michezo ya mtoano, goli pekee katika mechi dhidi ya Burkina Faso iliyochezwa Algiers. Kwa sasa Madjid Bougherra anachezea klabu ya Lekhwiya ya Qatar.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako