• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Nani wanapinga Kombe la Dunia?

    (GMT+08:00) 2014-05-29 10:16:26

    Michuano ya Kombe la Dunia inakaribia, lakini watu wana wasiwasi kuhusu hali ya maandalizi ya Brazil. Tarehe 27, wakazi wenyeji wa huko waliovaa mavazi ya jadi na kubebea mishale mabegani wapatao zaidi ya 300 walifanya maandamano mitaani huko Brasilia, mji mkuu wa Brazil, ili kupinga michuano ya Kombe la Dunia. Wakati walipokaribia uwanja wa kitaifa wa soko wa Brasilia, walizuiliwa na askari polisi, na pande hizo mbili zikapambana.

     

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako