• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China na Afrika zinatakiwa kujenga uhusiano wa kiwenzi wenye usawa na wa kunufaishana katika mambo ya hisani

    (GMT+08:00) 2016-08-09 16:19:31
    Katibu mkuu wa Shirika la Hisani la China Bibi Peng Jianmei ametoa hotuba kwenye mkutano wa baraza la diplomasia ya umma kati ya China na Afrika akisema China na Afrika zinatakiwa kujenga uhusiano wa kiwenzi wenye usawa na wa kunufaishana katika mambo ya hisani. Ametoa mapendekezo kadhaa kuhusu namna ya kuanzisha uhusiano huo, yakiwemo kuanzisha mawasiliano ya kudumu kati ya mashirika ya hisani ya China na ya Afrika, kuyahimiza mashirika mengi zaidi ya hisani ya China kutupia macho Afrika, kuyahimiza makampuni ya China barani Afrika kutekeleza majukumu yao kwa jamii, na kufanya mkutano wa baraza la hisani kati ya China na Afrika kila mwaka.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako