• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Mfuko wa AMITY unashirikiana na hospitali na taasisi nyingine za afya barani Afrika katika kukusanya fedha kwa ajili ya kuwasaidia watu wasioweza kumudu matibabu

  (GMT+08:00) 2016-08-09 16:20:40
  #SinoAfricaDiplomasiayaUmma Msaidizi wa katibu mkuu wa mfuko wa AMITY Bibi She Yuhong anasema kwenye Kongmanano la Diplomasia ya Umma kati ya China na Afrika kwamba, China na nchi nyingi za Afrika zinakabiliwa na matatizo sawa ya matibabu na afya, nafasi za ajira, mazingira na maliasili, na mfuko huo unashirikiana na hospitali na taasisi nyingine za afya barani Afrika katika kukusanya fedha kwa ajili ya kuwasaidia watu wasioweza kumudu matibabu.
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako