• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Santuri za Kichina---Siku ya Mama

  (GMT+08:00) 2017-05-14 11:02:33

  Kila Jumapili ya pili katika mwezi wa tano ni Siku ya Mama. Kila ifikapo siku hiyo maalumu, watu hupenda kuwasalimia mama zao na kuwapatia zawadi. Na katika kipindi hiki, nyimbo zinazohusu mama zitakuwa zawadi maalumu kwa ajili ya akina mama, ili kuwapatia matumaini yetu mazuri. Heri ya Siku ya Mama! "母亲节快乐!mǔ qīn jié kuài lè !"

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako