• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Santuri za Kichina---Siku ya Baba

  (GMT+08:00) 2017-06-18 17:03:10

  Kila Jumapili ya tatu katika mwezi wa sita ni Siku ya Baba. Kila ifikapo siku hiyo maalumu, watoto wanaeleza matumaini yao ya dhati kwa baba zao wapendwa. Mapenzi ya baba ni ya kimyakimya kama mlima mkubwa unaomfuatilia na kumlinda mtoto wake. Na katika kipindi hiki, nyimbo zinazohusu baba zitakuwa zawadi maalumu kwa ajili ya akina baba, ili kuwatakia sikukuu njema na kila la heri. Heri ya Siku ya Baba! "父亲节快乐!fù qīn jié kuài lè !"

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako