Mkutano wa 19 wa wajumbe wote wa Chama cha Kikomunisti cha China utafanyika mwezi Oktoba. Mkutano huo utakaochagua viongozi wa awamu mpya wa chama hicho, utaleta athari mkubwa kwa China na dunia. Radio China Kimataifa imeandaa hojaji ya maswali kuhusu mkutano huo, na wasikilizaji wetu watakaojibu maswali hayo watapata tuzo ya kumbukumbu. Karibuni!
Barua pepe yetu ni: kiswahili@cri.com.cn
A: Taarifa binafsi
Umri: __chini ya miaka 35 __miaka kati ya 35-50 __zaidi ya miaka 50
Elimu: __sekondari na chini __shahada ya kwanza __shahada ya pili __shahaya ya tatu
Uraia: _____
B. Maswali
1. Unaonaje China chini ya utwala wa Chama cha Kikomunisti cha China ina athari gani kwa dunia
a__Inahimiza maendeleo ya uchumi wa dunia
b__Inatetea na kuhimiza amani na ushirikiano wa kunufaishana
c__Inashiriki na kusukuma mbele ushirikiano wa kimataifa katika kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa na kupambana na ugaidi.
d__Nyingine
2. Jambo gani la China limekuachia kumbukumbu zaidi katika miaka 5 iliyopita?
a__Mafanikio ya uchumi
b__Kuboresha maisha ya wananchi
c__Kushiriki ujenzi wa mfumo wa utawala wa dunia kwa kutumia busara za kichina
d__Kuchagua njia ya amani ya kujiendeleza, na kutekeleza mkakati wa kufungua mlango, kunufaishana na kunufaika kwa pamoja
e__Mengine
3. Unaonaje kuhusu Chama cha Kikomunisti cha China?
a__Kinatetea mawazo ya kujiendeleza kwa uvumbuzi, uratibu, kuhifadhi mazingira, kufungua mlango, na kunufaika kwa pamoja, na uwezo wake wa kutawala unaongezeka siku hadi siku
b__Kinatetea jumuiya ya mustakabali wa pamoja, na kupinga mawazo ya vita baridi na mvutano wa maslahi
c__Kinakabiliana na changamoto ndani ya chama kwa makini, na kuwa na uwezo wa kujikamilisha
d__Kinawaongoza wachina kuboresha maisha, na kufanya mafanikio ya mageuzi na maendeleo ya uchumi yawanufaishe zaidi wananchi wote
e__nyingine
Barua pepe yetu ni: kiswahili@cri.com.cn
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |