• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wanafunzi wa shule ya msingi na sekondari wa China wanatumia saa 2.28 kila siku kufanya kazi za nyumbani

    (GMT+08:00) 2018-01-02 14:32:14


    Unajua kwa nini wanafunzi wa China wanafanya vizuri katika mitihani? Ripoti inaonesha kuwa kila siku wanafunzi wa shule ya msingi na sekondari wa China wanatumia karibu saa tatu kufanya kazi za nyumbani, muda ambao ni mara tatu ya kiwango cha wastani cha dunia. Unaonaje kuhusu habari hii, na unaona muda wanaotumia kufanya kazi za nyumbani unaweza kufanikisha masomo yao na kupata kazi nzuri baada ya kuhitimu?

     

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako