• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rais Xi Jinping ahudhuria mkutano wa wawakilishi wa mkoa wa Guangdong

  (GMT+08:00) 2018-03-08 09:34:31

  Tarehe 7 Machi mwaka 2018, rais Xi Jinping alipohuduria mkutano wa wawakilishi wa mkoa wa Guangdong kwenye Mkutano wa kwanza wa Bunge la 13 la Umma la China, aliwataka wakazi wa mkoa huo kuwa na mawazo mapya, kusukuma mbele mageuzi na uvumbuzi, kufanya kazi halisi, na kujitahidi kutimiza maendeleo mapya mkoani humo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako