• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rais Xi Jinping akikutana na wawakilishi kutoka mkoa wa Shandong

  (GMT+08:00) 2018-03-09 10:37:52

  Rais Xi Jinping alipokutana na wawakilishi kutoka mkoa wa Shandong kwenye mkutano wa mwaka wa bunge la umma la China, amesema hali ya kilimo, vijijini na wakulima inaathiri ujenzi wa jamii yenye maisha bora na nchi ya ujamaa ya kisasa, hivyo kuna haja ya kutambua umuhimu wa mkakati wa kustawisha vijijini, na kuutekeleza mkakati huo kwa makini.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako