• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Hadithi yangu na Afrika (9)

  (GMT+08:00) 2018-07-10 14:37:45

  Mtoto aliyezaliwa katika hospitali ya jeshi la kulinda amani la China huko Wau, Sudan Kusini

  1. Tulimpokea mjamzito kutoka kambi ya wakimbizi anayekaribia kujifungua

  2. Mjamzito alikabiliwa na matatizo ya kujifungua, tulishirikiana ili kuhakikisha usalama wa mama na mtoto.

  3. Mtoto wa kike alizaliwa alfajiri

  4. Nilimwambia mama kwamba mtoto wake ana afya nzuri na anapendeza.

  5. Baba aliomba idhini ya kuzaliwa, niliandika "mtoto wa kike alizaliwa katika hospittali ya jeshi la kulinda amani la China mjini Wau, Sudan 1:50, tarehe 30 Septemba 2017.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako