• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Reli ya Nairobi-Malaba inayojengwa na kampuni ya China CCCC yawanufaisha wananchi wa Kenya

    (GMT+08:00) 2018-07-16 14:20:04

    Kampuni ya Ujenzi wa Miundombinu ya Usafiri ya China (CCCC) ni kampuni inayojenga bandari, barabara, madaraja na aina nyingine nyingi za miundombinu, ambayo inajulikana zaidi duniani kwenye sekta ya ujenzi. Mradi wa Reli ya Nairobi-Malaba ni sehemu moja muhimu ya kampuni hiyo unaojengwa nchini Kenya hivi sasa, ambao utawanufaisha wafanyakazi na wananchi wengi wa Kenya.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako