• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Shirika la Ndege la China Southern lawapatia wananchi wa Kenya nafasi za ajira

    (GMT+08:00) 2018-07-16 14:21:33
    Katika mwezi Agosti mwaka 2015, Shirika la Ndege la China Southern lilianzisha rasmi safari ya ndege kutoka Guangzhou hadi Nairobi, ambayo ni safari ya kwanza ya moja kwa moja kwenda Kenya. Shirika hilo pia limetekeleza wajibu wa kijamii na kutoa nafasi za ajira kwa wenyeji wa Kenya, ambao wamepata mengi ya kujifunza na kunufaika na kazi hiyo. Judith Nashipai Kamai ni mmoja wao, yeye anatoka katika familia ya ufugaji ya kabila la Wamasai, ambayo inaishi katika mji mdogo wa Kilgoris kaunti ya Narok nchini Kenya. Anapenda sana kazi yake na kutaka kutoa mchango wake katika kuhimiza urafiki kati ya China na Afrika.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako