• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Barabara kuu ya Nanjing mjini Shanghai ni maarufu dunia nzima

  (GMT+08:00) 2018-07-30 16:07:41
  Barabara kuu ya Nanjing mjini Shanghai ni maarufu dunia nzima

  Inamaduka si haba na huvutia watalii na wenyeji usiku na mchana. Kama ilivyodesturi ya Shanghai barabara majengo hapa ni ya asili ya kingereza huku yakiwa na vipengele vya Kichina.

  Barabara hii imegawanyika katika maeneo mawili Nanjing Magharibi na Nanjing Mashariki. Maghari hayaruhusiwi kwenye barabara hii ili kuwapa watu wengi nafasi ya kuzuru na kununua vitu wanavyotaka kwa amani.

   

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako