• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • MAKAVAZI YA KIHISTORIA SHANGHAI

  (GMT+08:00) 2018-08-08 09:03:34

  Shanghai ni mji uliona historia muhimu iliyohifadhiwa katika makavazi ya kihistoria. Hapa utapata kuona jinsi wenyejis waliishi miaka nyingi iliyopita. Mitindo ya ujenzi , mbinu za kujitafutia riziki , biashara za jadi , maisha ya wakoloni , masomo na kadhalika ni baadhi ya vitu vilivyo hifadiwa katika makavazi haya. Makavazi haya yamejengwa kuiga barabara na maduka ya kitambo ilikuwapa wageni taswira sawiya na nyakati zile.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako