• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Video Yaonesha Mume Aliyebeba Mtoto Kifuani Akimshikilia Mwavuli Mke Wake

    (GMT+08:00) 2020-09-07 11:06:45


    Video inayoonesha mume mmoja aliyebeba mtoto kifuani akimshikilia mwavuli mke wake wakati anakula tambi, imesambaa sana kwenye mitandao ya kijamii nchini China n kuleta mjadala.

    Video hiyo iliyopigwa mjini Jincheng mkoani Shanxi, inaonesha jinsi upendo wa kweli ulivyo, licha ya kuwa baadhi ya watumiaji wa mitandao ya kijamii wanaona mume huyo huenda ametawaliwa anatii kila kitu anachotaka mke wake.

    Watumiaji wengi wa Internet wamebaini kuwa mwanamume huyo alifanya hivyo kwa utulivu na uhimilivu, akiwatunza mtoto na mke wake kwa wakati mmoja. Kitendo hicho ni mabadiliko mazuri wakati wanaume wengi hawataki kuwasaidia wake wao kwenye kazi za majumbani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako