• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • 10 Julai 2012

    (GMT+08:00) 2012-07-12 15:44:02

    Tumetembelea kampuni ya Qarluq ambayo inafanya kazi kwa kushirikiana na kampuni ya Apple ya Marekani; maelezo yao yamenivutia sana hasa namna wanavyowasaidia raia wenzao katika kuwapa uwezo wa kushiriki kwenye ushindani ndani ya ulimwengu wa teknolojia ya habari.

    Mpangilio wa ofisi, mpango wa maendeleo ya miaka 5 ijayo n.k vinatia hamasa kuona vijana hawa walivyodhamiria kushiriki kikamilifu katika ulimwengu wa dijitali.

    Nimechukua mawasiliano ya mkurugenzi na tumekubaliana tuwasiliane kwa barua pepe ili kujua namna gani tunaweza kushirikiana kuingia katika soko la Afrika Mashariki na kati na Afrika kwa ujumla.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako