• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Tumetembelea Tianshannet

    (GMT+08:00) 2012-07-12 15:44:35

    Nimependa jitihada zao katika kusambaza habari kwa njia ya mtandao tena kwa lugha zote katika mkoa wa Xinjiang.

    Tumekuwa tukifanya kazi kama wafanyayo lakini tofauti yetu nao ni kuwa wao wanashirikiana na serikali ilhali sisi tunajitegemea. Aidha, wao wanatafsiri habari na sisi hatuna kitengo hicho.

    Nimedhamiria nikirudi Tanzania niongee na wenzangu ili tuboreshe kwa kutumia mfano huu hai.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako