• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Tuliandaliwa hafla ya kukaribishwa Xinjiang na kupewa tuzo...

    (GMT+08:00) 2012-07-12 15:47:40

    Sikutarajia kupata zawadi/tuzo hii. Zote zilikuwa nzuri na ni faraja kubwa kwangu na taifa langu la Tanzania. Nimefarijika kuona taifa langu (Tanzania) likiheshimika na kupongezwa kwa ushiriki wake katika mashindano haya. Natumaini tutaendelea kushiriki kama nchi na lugha yetu itazidi kuchanja mbuga.

    Nimefurahishwa na viongozi wa serikali kushiriki na zaidi kuzingatia muda wa shughuli uliopangwa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako