• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Maxence Melo Mubyazi atembelea Turpan

    (GMT+08:00) 2012-07-12 16:24:13

    Turpan iliyopo bondeni mashariki mwa mlima Tianshan ni njia muhimu inayounganisha sehemu nyingine za China na Xinjiang pamoja na nchi za Asia ya Kati. Watu wapatao laki 5.59 wanaishi katika sehemu hiyo, asilimia 77.1 ya wakazi wa Turpan ni makabila madogomadogo kama vile Wauyghur na Wahan wanachukua asilimia 22.9. Sehemu hiyo ina hali maalum ya hewa na raslimali nyingi ikiwemo nishati ya jua, madini na vivutio vingi vya utalii.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako