-
 1. 这车到东方小区吗?
Zhè chē dào Dōngfāng xiǎoqū ma?
Basi hili linaelekea kwenye eneo la makazi la Dongfang?
-
 2. 买一张票。
Mǎi yì zhāng piào.
Nataka kununua tiketi moja.
-
 3. 到了请你告诉我。
Dàole qǐng nǐ gàosu wǒ.
Tafadhari tukifika kwenye kituo ninachoenda niambie.
-
 4. 在哪儿换车?
Zài nǎr huàn chē?
Nipande basi lingine kwenye kituo gani?
-
 1. 请送我去中心医院。
Qǐng sòng wǒ qù Zhōngxīn yīyuàn.
Tafadhali nipeleke kwenye Hospitali ya Zhongxin.
-
 2. 知道怎么走吗?
Zhīdao zěnme zǒu ma?
Unaelewa namna ya kuelekea huko?
-
 3. 请您开慢点儿。
Qǐng nín kāi màn diǎnr.
Tafadhali usiendeshe gari kwa kasi.
-
 4. 就停在门口吧。
Jiù tíng zài ménkǒu ba.
Haya egesha hapa mlangoni.
|