- angalia
- kujifunza
- mazoezi
-
Tafadhali nipeleke kwenye Hospitali ya Zhongxin. Unapopanda taxi na kutaka kwenda hospitali unaweza kumwambia dereva na kusema: qing song wo qu zhong xin yi yuan.qing song wo: tafadhali nipeleke, qu: kwenda, zhong xin yi yuan: Hospitali ya Zhongxin.
-
Unaelewa namna ya kuelekea huko?
Zhi dao zen me zou ma? Zhi dao: elewa, jua. Zen me: namna. Zou: kwenda. Ma: kisaidizi cha neno kwa kuuliza.
-
Tafadhali nipeleke kwenye hospitali ya Zhongxin, unaelewa namna ya kuelekea huko?
-
Bila shaka, mimi ni dereva mwenye uzoefu mkubwa.