somo 27 panda teksi

 ongea na CRI
 

Kwa desturi za wachina, ili kuonesha adabu kwa wageni, wageni huitwa kuwa kama ni jamaa zao, kwa mfano, kumwita mzee kuwa ni 大爷(da ye),kumwita bibi kizee kuwa ni 大娘 (da niang), kumwita mwanaume mkubwa kuliko wewe kuwa ni 大哥(da ge),na kumwita mwanamke mkubwa kuliko wewe kuwa ni 大姐 (da jie), kadhalika kumwita dereva kuwa ni 师傅 (shi fu),kwa kawaida watu humwita mtu mwenye ujuzi au anayekufundisha ufundi wa kazi kuwa ni 师傅。