somo 30 kuendesha gari kwa kutalii
-
 1. 我想订去西安的往返机票。
Wǒ xiǎng dìng qù xī'ān de wǎngfǎn jīpiào.
Nataka kuagiza tiketi ya kwenda Xian na tiketi ya
kurudi kutoka mji huo
-
 2. 有打折的票吗?
Yǒu dǎ zhé de piào ma?
Naweza kupata tiketi yenye punguzo la bei?
-
 3. 行李托运吗?
Xíngli tuōyùn ma?
Mzigo wako unasafirishwa?
-
 4. 我想要一个靠窗的座位。
Wǒ xiǎng yào yí gè kào chuāng de zuòwèi.
Nataka kupata kiti cha dirishani
-
 5. 我找不到行李了。
Wǒ zhǎo bú dào xíngli le.
Nimeshindwa kutafuta mzigo wangu
-
 1. 我们去旅行吧。
Wǒmen qù lǚxíng ba.
Twende kutalii.
-
 2. 周末有什么计划?
Zhōumò yǒu shénme jìhuà?
Una mpango gani wikiendi hii.
-
 3. 咱们什么时候出发?
Zánmen shénme shíhou chūfā?
Tufunge safari saa ngapi?
-
 4. 下一个景点还有多远?
Xià yí gè jǐngdiǎn hái yǒu duō yuǎn?
Ni umbali gani kutoka hapa hadi kwenye sehemu
nyingine ya vivutio?
-
 5. 这儿的风景太美了。
Zhèr de fēngjǐng tài měi le.
Mandhari ya sehemu hii ni nzuri sana.
|