somo 30 kuendesha gari kwa kutalii

 ongea na CRI
 
  • angalia
  • kujifunza
  • mazoezi
  • 正常播放   我们去旅行吧。Wǒmen qù lǚxíng ba.

    Twende kutalii.
    Kama unataka kumwalika mtu kwenda pamoja nawe kutalii, unaweza kumwambia: wo men qu lu xing ba. Wo men: sisi, qu: kwenda, lu xing: kutalii, ba: neno la kisaidizi.
  • 正常播放  慢速播放  A: 最近天气真好。
    Zuìjìn tiānqì zhēn hǎo.
    Hali ya hewa ya siku hizi ni nzuri sana.
  • 正常播放  慢速播放  B: 天气预报说明天晴天。
    Tiānqì yùbào shuō míngtiān qíngtiān.
    Idara ya utabiri wa hali ya hewa imesema kesho
    hakuna mvua.
  • 正常播放  慢速播放  A: 我们去旅行吧。
    Wǒmen qù lǚxíng bɑ.
    Twende kutalii.
  • 正常播放  慢速播放  B: 好啊。
    Hǎo a.
    Haya.