-

1. 我想订一个标准间。
Wǒ xiǎng dìng yí gè biāozhǔnjiān.
Nataka kuagiza chumba kimoja cha kawaida.
-

2. 房费包括早餐吗?
Fángfèi bāokuò zǎocān ma?
Malipo ya chumba ni pamoja na kifungua kinywa?
-

3. 我要7点的叫醒服务。
Wǒ yào qī diǎn de jiào xǐng fúwù.
Nataka kupata huduma ya kuniamsha saa 1 asubuhi.
-

4. 请问几点退房?
Qǐngwèn jǐ diǎn tuì fáng?
Tafadhali tuambie utaondoka saa ngapi?