-
Nataka kunyolewa nywele.
我想 wǒ xiǎng, nataka.
剪 jiǎn, kunyolewa.
头发 tóu fa, nywele. -
Kupunguza kidogo.
修一下 xiū yí xià, kupunguza kidogo.
就可以了 jiù kě yǐ le, inatosha. -
Nataka kupaka rangi nywele zangu.
我想 wǒ xiǎng, nataka.
染 rǎn, kupaka rangi.
头发 tóu fa, nywele. -
Usikate nywele kuwa fupi ya kupita kiasi
别剪 bié jiǎn, usikate.
太短了 tài duǎn le, fupi ya kupita kiasi.