- angalia
- kujifunza
- mazoezi
-
Nataka kunyolewa nywele.
我想 wǒ xiǎng, nataka.
剪 jiǎn, kunyolewa.
头发 tóu fa, nywele.
-
Kupunguza kidogo.
修一下 xiū yí xià, kupunguza kidogo.
就可以了 jiù kě yǐ le, inatosha.
-
Nataka kunyolewa nywele.
-
Unataka kunyolewa namna gani?
-
Kupunguza kidogo.
-
Sawa, tafadhali osha kwanza nywele.