-
 1. 能跳支舞吗?
Néng tiào zhī wǔ ma?
Unakubali kucheza dansi nami?
-
 2. 我请你喝一杯,好吗?
Wǒ qǐng nǐ hē yì bēi, hǎo ma?
Nakununulia kikombe kimoja cha kinywaji, uankubali?
-
 3. 有空儿一起吃饭吧。
Yǒu kòngr yìqǐ chī fàn ba.
Tukipata nafasi twende kula chakula pamoja.
-
 4. 你真漂亮!
Nǐ zhēn piàoliang!
Wewe unapendeza sana!
-
 1. 你最喜欢哪部电影?
Nǐ zuì xǐhuan nǎ bù diànyǐng?
Unapenda zaidi filamu gani?
-
 2. 它的情节很有趣。
Tā de qíngjié hěn yǒuqù.
Hadithi ya filamu hiyo inafurahisha.
-
 3. 这部电影的票房不错。
Zhè bù diànyǐng de piàofáng búcuò.
Tikiti za filamu hiyo zilinunuliwa vizuri.
-
 4. 请问电影几点开演?
Qǐngwèn diànyǐng jǐ diǎn kāiyǎn?
Tafadhali niambie filamu itaoneshwa saa ngapi?
|