- angalia
- kujifunza
- mazoezi
-
Ukitaka kujua mtu mwingine anapenda zaidi filamu gani, unaweza kusema: 你最喜欢哪部电影?Unapenda zaidi filamu gani?
你 nǐ, wewe.
最 zuì , zaidi.
喜欢 xǐ huan, penda.
哪部 nǎ bù, gani.
电影 diàn yǐng, filamu.
-
Ukiona kuwa filamu moja ni ya kuvutia, unaweza kusema:它的情节很有趣。Hadithi ya filamu hiyo inafurahisha.
它的情节 tā de qíng jié, hadithi ya filamu hiyo.
很有趣 hěn yǒu qù, inafurahisha.
-
Unapenda zaidi filamu gani?
-
Napenda zaidi filamu ya “Tukutane bila kuachana”.
-
Hadithi ya filamu hiyo inafurahisha.
-
Napenda kutazama filamu za kufurahisha.