somo 62 Kutazama maonesho ya michezo ya sanaa
-
 1. 你平时喜欢听什么音乐?
Nǐ píngshí xǐhuan tīng shénme yīnyuè?
Kwa kawaida unapenda kusikiliza muziki gani?
-
 2. 我就爱听摇滚乐。
Wǒ jiù ài tīng yáogǔnyuè.
Napenda kusikiliza muziki wa rock ‘n’ roll.
-
 3. 你最喜欢的歌手是谁?
Nǐ zuì xǐhuan de gēshǒu shì shuí?
Unapenda zaidi mwimbaji gani?
-
 4. 这首歌最近特别流行。
Zhè shǒu gē zuìjìn tèbié liúxíng.
Wimbo huu unaenea sana hivi karibuni.
-
 1. 我是在网上订的。
Wǒ shì zài wǎng shàng dìng de.
Niliagiza kwenye mtandao wa internet.
-
 2. 中国杂技是世界一流的。
Zhōngguó zájì shì shìjiè yīliú de.
Sarakasi ya China ni ya kiwango cha juu duniani.
-
 3. 现场表演的效果完全不一样。
Xiànchǎng biǎoyǎn de xiàoguǒ wánquán bù yíyàng.
Kutazama maonesho ya wachezaji kunavutia zaidi kuliko kutazama maonesho kwenye televisheni.
-
 4. 我能跟您合个影吗?
Wǒ néng gēn nín hé gè yǐng ma?
Naweza kupiga picha pamoja na wewe?
|