- angalia
- kujifunza
- mazoezi
-
Hivi sasa watu wengi wanaagiza tiketi kwenye mtandao wa internet. Ukifanya hivyo, unaweza kusema: 我是在网上订的。Niliagiza kwenye mtandao wa internet.
我 wǒ, mimi.
是 shì, ni.
网上 wǎng shàng, kwenye mtandao wa internet.
订 dìng, agiza.
的 de, kisaidizi cha neno.
-
Ulinunua tiketi wapi?
-
Niliagiza kwenye mtandao wa internet, wewe je?
-
Mimi pia.