somo 68 Kupanda mlima na kukimbia
-
 1. 我都出汗了!
Wǒ dōu chū hàn le!
Nimetokwa na jasho!
-
 2. 我有点儿爬不动了。
Wǒ yǒudiǎnr pá bú dòng le.
Naona sina nguvu kubwa ya kupanda.
-
 3. 我经常去健身房。
Wǒ jīngcháng qù jiànshēnfáng.
Nakwenda mara kwa mara kwenye jumba la kufanya mazoezi ya kujenga mwili.
-
 4. 贵在坚持。
Guì zài jiānchí.
Bora kushikilia siku zote.
|