- angalia
- kujifunza
- mazoezi
-
Baada ya kufanya mazoezi, watu hutokwa na jasho. Unaweza kusema: 我都出汗了!Ninatokwa na jasho!
我 wǒ, mimi.
都 dōu, hata.
出汗 chū hàn, tokwa na jasho.
了le, kisaidizi cha neno.
-
Wakati unapopanda mlima, ukichoka, unaweza kusema: 我有点儿爬不动了。Naona sina nguvu kubwa ya kupanda.
我 wǒ, mimi.
有点儿 yǒu diǎnr, kidogo.
爬不动了 pá bú dòng le, kutokuwa na nguvu ya kupanda.
-
Ninatokwa na jasho!
-
Basi tupumzike kidogo.
-
Nisubiri, naona sina nguvu kubwa ya kupanda.
-
Sawa, usiwe na haraka.