• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (2 Oktoba-6 Oktoba)

    (GMT+08:00) 2017-10-06 18:58:25

    WFP yatoa msaada wa tani zaidi ya laki 1.5 za chakula kwa wakimbizi nchini Tanzania

    Shirika la Mpango wa Chakula la Umoja wa Mataifa WFP limetoa msaada wa tani laki 1.5 za chakula kuwasaidia wakimbizi na watu wenye hali duni zaidi nchini Tanzania na nchi jirani.

    Msimamizi wa operesheni hiyo Aderico Kihakwi amesema, msaada huo wa unalenga kusaidia watu walioathirika na mapigano yaliyotokea kati ya mwezi Januari na Septemba mwaka huu.

    Amesema Tanzania imepokea msaada wa zaidi ya tani 8,091 za chakula ambazo zimegawiwa katika kambi za wakimbizi za Nyarugusu, Mtendeli, na Nduta.

    Bw. Kihakwi ameongeza kuwa, nchi nyingine zitakazofaidika na msaada huo wa chakula ni Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Rwanda, Malawi, Uganda, na Sudan Kusini.

    1  2  3  4  5  6  7  
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako