• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Februari 3-Februari 9)

    (GMT+08:00) 2018-02-09 17:54:15

    Mazungumzo ya amani kati ya serikali na waasi wa Sudan kuisni yagonga mwamba

    Mazungumzo ya amani kati ya serikali na waasi wa Sudan kuisni nchini Ethiopia yamegonga mwamba kwa baada ya wajumbe kususia kikao hicho, Radio Tamazuj inaripoti.

    Hii ikiwa ni jitihada ya hivi karibuni kusitisha mapigano ya kiraia yaliodumu zaidi ya miaka minne mpaka kufikia sasa.

    Kituo hicho cha utangazaji kinasema ujumbe wa serikali ulitaka zaidi ya wajumbe watatu wahudhurie kikao hicho. Pande hizo mbili zinatarajia kufufua makubaliano ya amani ya mwaka 2015.

    Duru zinaarifu kwamba ujumbe wa serikali uliamua kususia kikao cha leo mchana kwasababu walitaka zaidi ya wajumbe watatu kuhudhuria na kwamba inataka wajumbe zaidi ya watatu wahuhudhurie lakini IGAD inaruhusu watatu pekee.

    Katika miaka minne iliyopita, maelfu ya watu wameuawa katika mapigano na kiasi ya thuluthi moja ya raia nchini wameachwa bila ya makaazi.


    1  2  3  4  5  6  7  8  
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako