Tanzania: Wanaotaka kujinyonga kukamatwa
Baada ya kupokea taarifa ya watu wawili kujinyonga mpaka kufa December 31,2019 Mkoani Tabora, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora Barnabas Mwakalukwa amesema Jeshi hilo litaanza msako wa kuwabaini na kuwakamata wote wanaotarajia kujinyonga mwaka. Hii hapa sauti yak….
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |