• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Liang Zi kutoka china alitaka zaidi kufahamu utamaduni na desturi za Afrika

    (GMT+08:00) 2014-11-04 17:08:18

    Katika kila nchi alioenda ameandika kitabu na kutengeneza video kuhusu watu wa huko

    Hakufahamu lugha yao alitafuta njia za kuwasiliana na na watu wa Afrika hata wakati hanba mtu wa kutafsiri

    Liang Zi anaweza kutoa huduma kama hizi

    Aliwafanyia watu wengi wa kijiji hicho usingaji kwa sababu dawa za kutuliza kichwa za China alizokuwa nazo ziliisha

    Nchini Sierra Leone. Liang Zi alipenda sana kuifahamu Afrika hivyo aliishi kwenye vijiji kwa kila nchi alioenda

    Anajifunza kusaga unga kwa kutumia mawe. Njia hii ndio inayotumiwa na wenyeji kusaga unga kwa ajili ya chakula

    Nchini Eritrea. Liang Zi  kutoka China alitembea vijiji vingi nchini humo ili kufahamu utamaduni wa watu wa watu wa huko


    1 2
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako