• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ziara ya wastadi wa Kongfu China yafungua zaidi ufahamu wao kuhusu mchezo huo.

    (GMT+08:00) 2014-11-06 17:11:33

    Wastadi wa kongfu kutoka chuo kikuu cha Dodoma nchini Tanzania kwenye sherehe ya kufunga wiki mbili za mafunzo ya kongfu katika mkoa Henan nchini China. Mafunzo hayo yalijumuisha wastdai wa kongfu kutoka zaidi ya vikundi 20 vya Tanzania wakiwemo wanafunzi wa vyuo mbalimbali.

    Mmoja wa wastadi wa kongfu akikabidhiwa cheti baada ya mafunzo yua wiki mbili.

    Baada ya mafunzo ya lugha, kongfu na tamaduni za kichina washiriki walitunikiwa vyeti.

    Mbali na kufunzwa kongfu pia wastadi kutoka Tanzania alifunzwa lugha na tamaduni za ya kichina. Hapa ni kwenye darasa wakati wa mojawepo wa mafunzo ya lugha ya kichina.

     

    Mazoezi ya mikono ya Taiji ambayo ni aina maalum ya ustadi wa kongfu. Mkufunzi wa kichina anatoa mafunzo kwa wastadi hawa kutoka Tanzania.

    Wastadi wa kongfu kutoka Tanzania wakifunzwa mitindo tofauti ya mchezo huo katika mkoa wa Henan nchini China ambako walitembelea kwa wiki mbili.

    Wastadi wa kongfu kutoka Tanzania kwenye mafunzo nchini China. Zaidi ya wastadi 20 walikuwa china kwa mafunzo hayo kwa wiki mbili.


    1 2
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako