• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Santuri za Kichina---Sayari ya dunia  2017-03-16
  Ingawa dunia ni kubwa sana, lakini mioyo yetu inaweza kukutana na kusalimiana, na nyimbo zinazohusu sayari ya dunia hubeba upendo wa maisha. Kipindi hiki kitakuletea nyimbo zinazohusiana na sayari ya dunia.
  Santuri za Kichina---Mwimbaji Zhang Guorong  2017-03-10
  Mwimbaji Zhang Guorong (张国荣 zhāng guó róng)ni mwimbaji na mwigizaji maarufu sana hapa China. Ingawa aliaga dunia mwaka 2003, lakini hadi sasa anakumbukwa na mashabiki wake. Nyimbo na filamu zake bado zinapendwa na kusifiwa sana na watu wengi. Kipindi hiki kitakuletea nyimbo za mwimbaji Zhang Guorong.
  Santuri za Kichina---Redio  2017-03-06
  Watu wengi wanapenda kusikiliza redio, ambayo inaweza kutuunganisha bila ya kujali umbali kati yetu. Kipindi hiki kitakuletea nyimbo zinazohusu redio.
  Santuri za Kichina---Mashairi  2017-02-16
  Mashairi yanaweza kutuletea hisia mbalimbali, na watu wengi wanapenda kusoma mashairi. Kipindi hiki kitakuletea nyimbo zinazohusiana na mashairi.
  Santuri za Kichina---Siku ya Wapendanao  2017-02-14
  Tarehe 14 Februari ni siku maalumu, yaani siku ya wapendanao. Mapenzi ni mambo matamu maishani, kipindi hiki kitakuletea nyimbo zinazohusu wapendanao.
  Santuri za Kichina---Majira ya Spring  2017-02-14
  Kila ifikapo majira ya spring, baridi itaondoka, maua yatachanua tena. Hivyo, majira ya spring pia yanaitwa majira ya mchipuko, ambayo yanamaanisha mambo mapya na mwanzo mpya maishani. Kipindi hiki kitakuletea nyimbo zinazohusiana na majira ya spring.
  Santuri za Kichina---Sikukuu ya Spring  2017-01-26
  Sikukuu ya spring, yaani sikukuu ya mwaka mpya wa jadi wa kichina ni sikukuu kubwa kabisa kwa watu wa China katika mwaka mzima. Katika kalenda ya kichina, mwaka 2017 ni mwaka wa jogoo. Kipindi hiki kitakuletea nyimbo mbalimbali zinazohusiana na sikukuu ya spring ya China.
  Santuri za Kichina---Marafiki  2017-01-25
  Marafiki ni watu muhimu katika maisha yetu. Kipindi hiki kitakuletea nyimbo zinazohusiana na marafiki.
  Santuri za Kichina---Mwimbaji Li Ronghao  2016-11-11
  Mwimbaji Li Ronghao(李荣浩 lǐ róng hào)ni mwanamuziki mwenye kipaji kikubwa, nyimbo zake zinavuma sana hivi sasa hapa China. Nyimbo nyingi zinazotungwa naye zina ushawishi mkubwa wa kuwavutia wasikilizaji, maneno yaliyomo kwenye nyimbo zake ni kama mtu anayesimulia hadithi zetu. Kipindi hiki kitakuletea nyimbo za mwimbaji Li Ronghao.
  Santuri za Kichina---Mwimbaji Xue Zhiqian  2016-11-08
  Nyimbo za mapenzi za mwimbaji Xue Zhiqian(薛之谦 xuē zhī qiān)zinaweza kutuonyesha picha mbalimbali zenye rangi na hisia tofauti. Wasikilizaji wengi wanapenda kusikiliza nyimbo zake, kwa sababu nyimbo hizo zinasimulia hadithi zinazotuhusu. Kipindi hiki kitakuletea nyimbo za mwimbaji Xue Zhiqian.
  Santuri za Kichina---Kuimba  2016-09-28
  Kuimba nyimbo kunaweza kutuburudisha na kutuletea furaha. Kipindi hiki kitakuletea nyimbo zinazohusiana na kuimba.
  Santuri za Kichina---Malaika  2016-09-28
  Malaika anabeba upendo kwa maisha yetu. Kipindi hiki kitakuletea nyimbo zinazohusiana na malaika.
  Santuri za Kichina---Anga  2016-09-28
  Anga hubeba hisia mbalimbali za binadamu. Kipindi hiki kitakuletea nyimbo zinazohusiana na anga.
  Santuri za Kichina---Picha  2016-09-28
  Picha zinatukumbusha mambo au watu fulani, pia ni kumbukumbu ya siku za nyuma. Kipindi hiki kitakuletea nyimbo zinazohusiana na picha.
  Santuri za Kichina---Kucheza dansi  2016-09-28
  Kucheza dansi kunaweza kutuletea fuhara katika maisha yetu, na nyimbo zinazohusu dansi pia zinaweza kutuburudisha. Kipindi hiki kitakuletea nyimbo mbalimbali zinazohusiana na dansi.
  Santuri za Kichina---Jukwaa la maisha 2016-09-28
  Maisha yetu ni kama jukwaa, ambalo linahusiana na ndoto yetu, kila mtu anacheza katika jukwaa lake la kipekee. Tutapata maisha yenye rangi tofauti kwenye jukwaa. Kipindi hiki kitakuletea nyimbo zinazohusu jukwaa la maisha.
  Santuri za Kichina---Ufunguo  2016-09-28
  Ufunguo ni kitu cha kawaida katika maisha yetu, na waimbaji wanapenda kutumia ufunguo ili kutoa hisia ya maisha, hasa kwa mambo ya mapenzi.Kipindi hiki kitakuletea nyimbo zinazohusiana na ufunguo.
  Santuri za Kichina---Pipi  2016-09-28
  Pipi zinapendwa sana na watoto kutokana na ladha yake ya utamu, pia zinamaanisha maisha yetu matamu. Kipindi hiki kitakuletea nyimbo zinazohusu pipi.
  Santuri za Kichina---Maua   2016-09-28
  Maua yananukia na kupendeza sana, pia maua yanabeba matumaini yetu mazuri katika maisha. Waimbaji wanapenda kutumia maua ili kuonyesha hisia zao kwa mustakabali mzuri wa maisha. Kipindi hiki kitakuletea nyimbo zinazohusu maua.
  Santuri za Kichina---Kahawa  2016-09-28
  Kahawa ni kinywaji kinachopendwa sana na watu wengi kutokana na ladha yake ya kipekee, na nyimbo zinazohusu kahawa pia zinabeba hisia mbalimbali za watu. Kipindi hiki kitakuletea nyimbo zinazohusiana na kahawa.
  More>>
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  Maoni yako