• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (1 Juni-7 Juni)

    (GMT+08:00) 2017-07-10 10:43:20
     

    Wanane wauwawa kwenye mkanyagano Malawi

    Watu wanane wakiwema watoto saba wameuwawa kwenye mkanyagano kabla ya kufanyika kwa mechi ya kandanda nchini Malawi.

    Watu wengine zaidi walijeruhiwa wakati wa mkanyagano huo ulitokea uwaja wa Bingu mjini Lilongwe.

    Mkanyagano huo unaripotiwa kutokea wakati maefu ya watu walijaribu kutafuta viti kabla ya mchuano wa kirafiki kati vilabu vikubwa vya Nyasa Big Bulets na Silver Strikers.

    Rais Peter Mutharika ametuma rambi rambi zake na kusema kuwa serikali inafanya kila iwezalo kuzisadia familia za waliouawa.

    Milango ya uwanja huo unaowachukua watu 40,000 ilistahili kufunguliwa kuruhusu watu kuingia mapema lakini ilichelewa kwa muda wa saa tatu.

    Hata hivyo maelfu walikwa wamefika na baadhi walijaribu kuingia kwa nguvu hali iliyosababisha polisi kufyatua vitoa machozi.


    1  2  3  4  5  6  7  8  
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako