• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (8 Oktoba-13 Oktoba)

    (GMT+08:00) 2017-10-13 18:55:22

    Boko Haram yawau watu 5 Nigeria

    Watu watano wameuawa wiki hii baada ya kutokea kwa shambulizi la kujitoka mhanga Kaskazini Mashariki mwa Nigeria.

    Hali ya usalama inaendelea kutisha katika nchi hiyo.

    Kundi la Boko Haram lilitekeleza shambulizi hilo baada ya kuvamia kijiji kimoja siku ya Alhamisi jioni Kusini mwa mji wa Maiduguri.

    Mashambulizi kama haya yameendelea kuzua hali ya wasiwasi kwa raia wa Kaskazini mwa nchi hiyo.

    Boko Haram imewaua maelfu ya raia na wengine wengi kuwashikilia kama mateka, huku jumuiya ya kimataifa ikiendelea kulaani vitendo vinavyoendeshwa na kundi hili katika baadhi ya nchi za Afrika ya Magharibi.

    1  2  3  4  5  6  7  
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako