• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Aprili 4-Aprilii 10)

  (GMT+08:00) 2020-04-10 19:34:08

  Kenya Faini ya sh 20,000 kwa yeyote yule atavaa maski

  Serikali imechapisha taarifa kwa gazeti lake yeyote yule atapatikana akitembea bila maski atalipa faini y ash 20,000 au akifungo cha miezi sita au zote mbili.

  Taarifa hiyo ilisainiwa na waziri wa afya Mutahi Kagwe ikionyesha kuwa kutokuvaa maski wakati wa kutumia usafiri wa umma au wa kibinafsi na kutofata amri ya kukaa wa mita 1.5 na mwezio ni kati ya makosa ambayo yatavutia adhabu hiyo.

  Kulingana na sheria mpya, mashirika, maduka ya biashara, wafanyabiashara iwe katika soko au majengo wanalazimika kuweka sabuni na maji ya kuosha mkono katika kiingilio cha jingo.

  Mazishi au kuchomwa kwa wapendwa ambao wamefariki kutokana na virusi hivi itafanywa ndani ya masaa 48 kutoka wakati wa kifo.


  1  2  3  4  5  6  
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako