![]() ![]() Pipi zinapendwa sana na watoto kutokana na ladha yake ya utamu, pia zinamaanisha maisha yetu matamu. Kipindi hiki kitakuletea nyimbo zinazohusu pipi. |
![]() ![]() Maua yananukia na kupendeza sana, pia maua yanabeba matumaini yetu mazuri katika maisha. Waimbaji wanapenda kutumia maua ili kuonyesha hisia zao kwa mustakabali mzuri wa maisha. Kipindi hiki kitakuletea nyimbo zinazohusu maua. |
![]() ![]() Kahawa ni kinywaji kinachopendwa sana na watu wengi kutokana na ladha yake ya kipekee, na nyimbo zinazohusu kahawa pia zinabeba hisia mbalimbali za watu. Kipindi hiki kitakuletea nyimbo zinazohusiana na kahawa. |
![]() ![]() Tunaweza kukabiliana na mwelekeo tofauti katika njia ya maisha, inatubidi tuchague njia yetu ya maisha. Kipindi hiki kitakuletea nyimbo zinazohusiana na mwelekeo katika maisha. |
![]() ![]() Watu wengi wanapenda kukimbia kama njia moja ya kufanya mazoezi. Wakati tunapokimbia, tunaweza kupata nguvu na matumaini kwa maisha. Kipindi hiki kitakuletea nyimbo zinazohusiana na kukimbia. |
![]() ![]() Mwezi wa saba ndio majira ya joto hapa china, waimbaji wanapenda kutumia muda huo ili kuonyesha hisia mbalimbali za maisha, hasa kwa mambo ya mapenzi. Kipindi hiki kitakuletea nyimbo zinazohusu mwezi Julai. |
![]() ![]() Watu wengi wanapenda kula ice cream ili kuondoa joto, ice cream inaweza kutufurahisha, na nyimbo zinazohusu ice cream pia zitatuletea furaha maishani. Kipindi hiki kitakuletea nyimbo zinazohusu ice cream. |
![]() ![]() Kamatujuavyo, maua ya waridi yanamaanisha mambo ya mapenzi, na waimbaji wanapenda kutumia maua hayo ili kuonyesha hisia zao kwa mambo ya mapenzi. Kipindi hiki kitakuletea nyimbo zinazohusiana na maua ya waridi. |
![]() ![]() Walimu wanatuletea ujuzi, pia ni marafiki zangu, tumepata mengi ya kujifunza kutoka kwao, kipindi hiki kitakuletea nyimbo zinazohusiana na wailmu. |
![]() ![]() Mapenzi ya baba ni kama mlima mkubwa unaomlinda mtoto wake kila wakati, lakini mapenzi hayo ni ya kimya kimya. Kipindi hiki kitakuletea nyimbo zinazobeba mapenzi kwa baba mpendwa, pia kuwatakia akina baba kila la heri. |
![]() ![]() Katika maisha yetu, ndege inamaanisha safari au kuwasindikiza watu, ndege pia inabeba hisia mbalimbali za maisha, kipindi hiki kitakuletea nyimbo zinazohusiana na ndege. |
![]() ![]() Kila ifikapo mwezi Juni, wanafunzi wengi watahitimu masomo yao hapa China. Kipindi hiki kitakuletea nyimbo zinazohusiana na msimu wa kuhitimu masomo na kuagana na marafiki. |
![]() ![]() Mwimbaji Tao Zhe (陶喆 táo zhé)ni mwanamuziki hodari hapa China kwa kupitia mtindo wake wa muziki wa R&B. Kipindi hiki kitakuletea nyimbo za mwanamuziki huyu Tao Zhe. |
![]() ![]() Ndoto inabeba matumaini yetu mazuri, kipindi hiki kitakuletea nyimbo zinazohusiana na ndoto. |
![]() ![]() Taa inatoa mwanga na kung'arisha njia za maisha, kipindi hiki kitakuletea nyimbo zinazohusiana na taa. |
![]() ![]() Kipindi hiki kitakuletea nyimbo zinazohusiana na kipindi cha utotoni, tukumbuke kwa pamoja kipindi chetu cha utotoni chenye furaha. |
![]() ![]() Kipindi hiki kitakuletea nyimbo zinazotumika sana katika harusi ya hapa China, ambazo ni nyimbo zenye upendo. |
![]() ![]() Nyumbani ni mahali penye furaha na upendo, watu wa familia ni watu muhimu sana katika maisha yetu. Kipindi hiki kitakuletea nyimbo zinazohusiana na watu wa familia. |
![]() ![]() Mvua inaweza kutukumbusha watu au mambo fulani, kipindi hiki kitakuletea nyimbo zinazohusiana na mvua. |
![]() ![]() Tunakata kuwa na maisha mazuri yenye rangi tofauti, kipindi hiki kitakuletea nyimbo mbalimbali zinazohusu rangi ya maisha. |
![]() ![]() Kila mtu anatoka utotoni na kuwa mtu mzima, kipindi hiki kitakuletea nyimbo zinazohusiana na makuzi. |
![]() ![]() Mama ni mtu muhimu sana katika maisha yetu, kipindi hiki kitakuletea nyimbo zinazohusiana na mama, ambazo zinabeba hisia ya mapenzi yetu kwa mama. |
![]() ![]() Kipindi hiki kitakuletea nyimbo mbalimbali zinazohusiana na sikukuu ya spring ya China, pia kukujulisha utamaduni wa sikukuu hiyo muhimu ya China. |
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |