• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • • Rais Xi Jinping asisitiza umuhimu wa sera ya kufungua mlango 2018-06-22

    Rais Xi Jinping wa China jana hapa Beijing alipokutana na wakuu wa mashirika makubwa ya kimataifa walioko China kuhudhuria mkutano wa kilele wa kamati ya watendaji wakuu duniani, amesema China imetekeleza sera ya mageuzi na ufunguaji mlango kwa miaka 40, na inaamini kuwa sera hiyo ni njia muhimu ya kuhimiza maendeleo ya taifa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako