• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (13 Mei-19 Mei)

    (GMT+08:00) 2017-05-19 18:48:43

    Rais mpya wa Ufaransa, Emmanuel Macron, ameapishwa

    Rais mpya wa Ufaransa, Emmanuel Macron, ameapishwa juma moja baada ya kupata ushindi mkubwa katika marudio ya uchaguzi mkuu wa Urais nchini humo.

    Bwana Macron, ambaye aliendesha siasa zake akiunga mkono umoja wa Jumuia ya mataifa ya Bara Ulaya, ameahidi kufufua uchumi wa Ufaransa na kufanyia mabadiliko siasa za kale za Ufaransa.

    Emmanuel Macron baada ya kuapishwa amefanya ziara yake ya kwanza nchini Mali kukutana na kikosi cha askari wa Ufaransa wa operesheni Barkhane.

    Hatua muhimuya imekuwa katika mji wa Gao, mji mkuu wa kaskazini mwa Mali ambako. kuna idadi kubwa ya askari wa Ufaransa wa operesheniya Barkhane.

    Askari wa Operesheni Barkhane wanakadiriwa kuwa 4,000 katika nchi tano za ukanda wa Sahel.

    Emmanuel Macron pia amekutana na mwenzake wa Mali Ibrahim Boubacar Keïta.


    1  2  3  4  5  6  7  
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako