Tanzania yapanda nafasi tatu kwenye orodha ya nchi 190 zenye mazingira mazuri ya kufanya biashara
Tanzania imeshika nafasi ya 141 kati ya nchi 190 duniani zenye urahisi wa kufanya biashara na uwekezaji hiyo ni kwa mujibu wa takwimu zilizotolewa na Benki ya Dunia.
wa Afrika Mauritus (13) na Rwanda (38) ndio nchi pekee zilizoingia kwenye 50 bora katika mazingira mazuri ya biashara duniani.
Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) zenye mazingira rahisi zaidi kwa biashara. Tanzania imeshika nafasi ya 4 ikiwa nyuma ya Rwanda (38), Kenya (56) na Uganda (116).
Kwenye takwimu kama hizo mwaka jana 2018 Tanzania ilishika nafasi ya 144.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |